Methali 14:1-2
Methali 14:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe. Mwenye mwenendo mnyofu humcha Mwenyezi-Mungu, lakini mpotovu humdharau Mungu.
Shirikisha
Soma Methali 14Methali 14:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe. Yeye aendaye kwa unyofu wake humcha BWANA; Bali aliye mkaidi katika njia zake humdharau.
Shirikisha
Soma Methali 14