Methali 13:9
Methali 13:9 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Nuru ya mwenye haki hungʼaa sana, bali taa ya mwovu itazimwa.
Shirikisha
Soma Methali 13Methali 13:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nuru ya mwenye haki yang'aa sana; Bali taa ya mtu mbaya itazimika.
Shirikisha
Soma Methali 13Methali 13:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwadilifu hungaa kama taa iwakayo vizuri, lakini waovu ni kama taa inayozimika.
Shirikisha
Soma Methali 13Methali 13:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nuru ya mwenye haki yang'aa sana; Bali taa ya mtu mbaya itazimika.
Shirikisha
Soma Methali 13