Methali 13:7
Methali 13:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Baadhi hujidai kuwa matajiri kumbe hawana kitu; wengine hujiona kuwa maskini hali wana mali tele.
Shirikisha
Soma Methali 13Methali 13:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kuna mtu anayejitajirisha, lakini hana kitu; Kuna anayejifanya kuwa maskini, lakini ana mali nyingi.
Shirikisha
Soma Methali 13