Methali 13:21
Methali 13:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Watendao dhambi huandamwa na balaa, lakini waadilifu watatuzwa mema.
Shirikisha
Soma Methali 13Methali 13:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Uovu huwafuatia wenye dhambi; Bali mwenye haki atalipwa mema.
Shirikisha
Soma Methali 13