Methali 13:13
Methali 13:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Anayedharau mawaidha anajiletea maangamizi, lakini anayetii amri atapewa tuzo.
Shirikisha
Soma Methali 13Methali 13:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kila anayelidharau neno hujiletea uharibifu; Bali yeye anayeiogopa amri atapewa thawabu.
Shirikisha
Soma Methali 13