Methali 12:9
Methali 12:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Afadhali mtu wa chini anayejitegemea, kuliko ajitakiaye makuu na kukosa chakula.
Shirikisha
Soma Methali 12Methali 12:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Afadhali mtu anayedharauliwa, ikiwa ana mtumwa, Kuliko ajisifuye, ikiwa anahitaji chakula.
Shirikisha
Soma Methali 12