Methali 12:5
Methali 12:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mawazo ya mwadilifu ni ya haki; mashauri ya mwovu ni ya udanganyifu.
Shirikisha
Soma Methali 12Methali 12:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mawazo ya mwenye haki ni adili; Bali mashauri ya mtu mwovu ni hadaa.
Shirikisha
Soma Methali 12