Methali 12:3
Methali 12:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu hawi imara kwa kutenda maovu, lakini hakuna kiwezacho kumngoa mtu mwadilifu.
Shirikisha
Soma Methali 12Methali 12:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu hatathibitika kwa njia ya uovu; Shina la mwenye haki halitaondolewa kamwe.
Shirikisha
Soma Methali 12