Methali 12:2
Methali 12:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu mwema hufadhiliwa na Mwenyezi-Mungu, lakini mwenye nia mbaya hulaaniwa na Mungu.
Shirikisha
Soma Methali 12Methali 12:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu mwema atapata upendeleo kwa BWANA; Bali mtu wa hila atahukumiwa naye.
Shirikisha
Soma Methali 12