Methali 12:17
Methali 12:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Msema kweli hutoa ushahidi wa kweli, lakini shahidi wa uongo hutamka udanganyifu.
Shirikisha
Soma Methali 12Methali 12:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Atamkaye maneno ya kweli hufunua haki; Bali shahidi wa uongo hutamka hila.
Shirikisha
Soma Methali 12