Methali 12:13
Methali 12:13 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Mtu mwovu hunaswa kwa mazungumzo yake ya dhambi, bali mwenye haki huepuka taabu.
Shirikisha
Soma Methali 12Methali 12:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu mwovu hunaswa kwa uongo wake mwenyewe, lakini mwadilifu hutoka katika taabu.
Shirikisha
Soma Methali 12Methali 12:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika kosa la midomo kuna mtego kwa mbaya; Bali mwenye haki atatoka katika taabu.
Shirikisha
Soma Methali 12