Methali 11:6-7
Methali 11:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Uadilifu wa wanyofu huwaokoa na hatari, lakini wafitini hunaswa kwa tamaa zao wenyewe. Mwovu akifa tumaini lake nalo hutoweka; tazamio la asiyemcha Mungu huishia patupu.
Shirikisha
Soma Methali 11Methali 11:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Haki yao wenye haki itawaokoa; Bali wafanyao fitina watanaswa kwa hila yao wenyewe. Mtu mwovu atakapokufa, taraja lake linapotea; Na matumaini ya uovu huangamia.
Shirikisha
Soma Methali 11