Methali 11:5
Methali 11:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Uadilifu wa watu wanyofu huinyosha njia yao, lakini waovu huanguka kwa uovu wao wenyewe.
Shirikisha
Soma Methali 11Methali 11:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Haki yake mtu mkamilifu itamwongoza njia yake; Bali mtu mwovu ataanguka kwa uovu wake.
Shirikisha
Soma Methali 11