Methali 11:24-25
Methali 11:24-25 Biblia Habari Njema (BHN)
Atoaye kwa ukarimu huzidi kutajirika; lakini bahili huzidi kudidimia katika umaskini. Mtu mkarimu atafanikishwa, amnyweshaye mwingine maji naye atanyweshwa.
Shirikisha
Soma Methali 11Methali 11:24-25 Biblia Habari Njema (BHN)
Atoaye kwa ukarimu huzidi kutajirika; lakini bahili huzidi kudidimia katika umaskini. Mtu mkarimu atafanikishwa, amnyweshaye mwingine maji naye atanyweshwa.
Shirikisha
Soma Methali 11Methali 11:24-25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kuna atawanyaye, lakini huongezewa zaidi; Kuna azuiaye isivyo haki, lakini huelekea uhitaji. Nafsi ya mtu mkarimu itastawishwa; Anyweshaye atanyweshwa mwenyewe.
Shirikisha
Soma Methali 11Methali 11:24-25 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kuna atawanyaye, lakini huongezewa zaidi; Kuna azuiaye isivyo haki, lakini huelekea uhitaji. Nafsi ya mtu mkarimu itawandishwa; Anyweshaye atanyweshwa mwenyewe.
Shirikisha
Soma Methali 11