Methali 11:11
Methali 11:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Mji hufanikishwa kwa baraka za wanyofu, lakini huangamizwa kwa mdomo wa waovu.
Shirikisha
Soma Methali 11Methali 11:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mji hutukuzwa kwa mbaraka wa mwenye haki; Bali mji hupinduliwa kwa kinywa cha mwovu.
Shirikisha
Soma Methali 11