Methali 11:10-11
Methali 11:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Waadilifu wakipata fanaka mji hushangilia, na waovu wakiangamia watu hupiga vigelegele. Mji hufanikishwa kwa baraka za wanyofu, lakini huangamizwa kwa mdomo wa waovu.
Shirikisha
Soma Methali 11Methali 11:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wenye haki wasitawipo, mji hufurahi; Waovu wanapoangamia, watu hushangilia. Mji hutukuzwa kwa mbaraka wa mwenye haki; Bali mji hupinduliwa kwa kinywa cha mwovu.
Shirikisha
Soma Methali 11