Methali 11:10
Methali 11:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Waadilifu wakipata fanaka mji hushangilia, na waovu wakiangamia watu hupiga vigelegele.
Shirikisha
Soma Methali 11Methali 11:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wenye haki wasitawipo, mji hufurahi; Waovu wanapoangamia, watu hushangilia.
Shirikisha
Soma Methali 11