Methali 10:6
Methali 10:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Baraka humkalia mwenye haki kichwani; Bali jeuri hufunika kinywa chake mtu mwovu.
Shirikisha
Soma Methali 10Methali 10:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwadilifu hujiletea baraka yeye mwenyewe, lakini kinywa cha mwovu kimesongwa na ukatili.
Shirikisha
Soma Methali 10Methali 10:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Baraka humkalia mwenye haki kichwani; Bali jeuri hufunika kinywa chake mtu mwovu.
Shirikisha
Soma Methali 10