Methali 10:29
Methali 10:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu ni ngome ya wanyofu, lakini watendao maovu atawaangamiza.
Shirikisha
Soma Methali 10Methali 10:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Njia ya BWANA ni kimbilio lake mtu mkamilifu; Bali ni uharibifu kwao watendao maovu.
Shirikisha
Soma Methali 10