Methali 10:25
Methali 10:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Kimbunga hupita na mwovu hutoweka, lakini mwadilifu huimarishwa milele.
Shirikisha
Soma Methali 10Methali 10:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisulisuli kikiisha pita asiye haki hayuko tena; Bali mwenye haki ni msingi wa milele.
Shirikisha
Soma Methali 10