Methali 10:24
Methali 10:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Anachoogopa mtu mwovu ndicho kitakachompata, lakini anachotamani mwadilifu ndicho atakachopewa.
Shirikisha
Soma Methali 10Methali 10:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Aogopacho mtu asiye haki ndicho kitakachomjilia; Na wenye haki watapewa matakwa yao.
Shirikisha
Soma Methali 10