Methali 10:23
Methali 10:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa mpumbavu kutenda maovu ni kama mchezo; lakini watu wenye busara hufurahia hekima.
Shirikisha
Soma Methali 10Methali 10:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa mpumbavu kutenda maovu ni kama mchezo; Bali mtu mwenye ufahamu ana hekima.
Shirikisha
Soma Methali 10