Methali 10:11
Methali 10:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Kinywa cha mwadilifu ni chemchemi ya uhai, lakini kinywa cha mwovu kimesongwa na ukatili.
Shirikisha
Soma Methali 10Methali 10:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kinywa chake mwenye haki ni chemchemi ya uzima; Bali jeuri hufunika kinywa chake mtu mwovu
Shirikisha
Soma Methali 10