Methali 10:10
Methali 10:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Akonyezaye kwa nia mbaya huzusha taabu, lakini aonyaye kwa ujasiri huleta amani.
Shirikisha
Soma Methali 10Methali 10:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akonyezaye kwa jicho huleta masikitiko; Bali mpumbavu mwenye maneno mengi ataanguka.
Shirikisha
Soma Methali 10