Methali 10:1
Methali 10:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Hizi ni methali za Solomoni: Mtoto mwenye hekima ni furaha ya baba yake; lakini mtoto mpumbavu ni huzuni ya mama yake.
Shirikisha
Soma Methali 10Methali 10:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwana mwenye hekima humfurahisha babaye; Bali mwana mpumbavu ni mzigo wa mamaye.
Shirikisha
Soma Methali 10