Methali 1:8-9
Methali 1:8-9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mwanangu, yasikilize mafundisho ya baba yako, Wala usiiache sheria ya mama yako, Kwa maana hayo yatakuwa kilemba cha neema kichwani pako, Na mikufu shingoni mwako.
Shirikisha
Soma Methali 1Methali 1:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwanangu, sikiliza mwongozo wa baba yako, wala usiyapuuze mafundisho ya mama yako; hayo yatakupamba kilemba kichwani pako, kama mkufu shingoni mwako.
Shirikisha
Soma Methali 1Methali 1:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwanangu, yasikilize mafundisho ya baba yako, Wala usiiache sheria ya mama yako, Kwa maana hayo yatakuwa kilemba cha neema kichwani pako, Na mikufu shingoni mwako.
Shirikisha
Soma Methali 1