Methali 1:32
Methali 1:32 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maana kurudi nyuma kwao wajinga kutawaua, Na kufanikiwa kwao wapumbavu kutawaangamiza.
Shirikisha
Soma Methali 1Methali 1:32 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana wajinga hujiua kwa ukaidi wao, wapumbavu hujiangamiza kwa kujiamini kwao.
Shirikisha
Soma Methali 1Methali 1:32 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana kurudi nyuma kwao wajinga kutawaua, Na kufanikiwa kwao wapumbavu kutawaangamiza.
Shirikisha
Soma Methali 1