Methali 1:28-29
Methali 1:28-29 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo ndipo mtakaponiita lakini sitaitika; mtanitafuta kwa bidii lakini hamtanipata. Kwa kuwa mliyachukia maarifa, wala hamkuchagua kumcha Mwenyezi-Mungu
Shirikisha
Soma Methali 1Methali 1:28-29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo watakaponiita, lakini sitaitika; Watanitafuta kwa bidii, wasinione. Kwa kuwa walichukia maarifa, Wala hawakuchagua kumcha BWANA.
Shirikisha
Soma Methali 1