Methali 1:22
Methali 1:22 Biblia Habari Njema (BHN)
“Enyi wajinga! Mpaka lini mtapenda kuwa wajinga? Mpaka lini wenye dharau watafurahia dharau zao, na wapumbavu kuchukia maarifa?
Shirikisha
Soma Methali 1Methali 1:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Enyi wajinga, hata lini mtapenda ujinga? Na wenye dharau kupenda dharau yao, Na wapumbavu kuchukia maarifa?
Shirikisha
Soma Methali 1