Methali 1:20-21
Methali 1:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Hekima huita kwa sauti barabarani, hupaza sauti yake sokoni; huita juu ya kuta, hutangaza penye malango ya mji
Shirikisha
Soma Methali 1Methali 1:20-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hekima hulia kwa sauti katika njia kuu, Hupaza sauti yake katika viwanja; Hulia penye mikutano mikubwa ya watu, Mahali pa kuyaingilia malango, Ndani ya mji hutamka maneno yake.
Shirikisha
Soma Methali 1