Methali 1:19
Methali 1:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndivyo zilivyo njia za waishio kwa ukatili; ukatili huyaangamiza maisha ya wakatili.
Shirikisha
Soma Methali 1Methali 1:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndivyo zilivyo njia za kila mwenye tamaa ya mali; Huuondoa uhai wao walio nayo.
Shirikisha
Soma Methali 1