Wafilipi 3:9
Wafilipi 3:9 Biblia Habari Njema (BHN)
na kuunganishwa naye kabisa. Mimi sitaki tena uadilifu unaotokana na kuitii sheria. Sasa ninao ule uadilifu unaopatikana katika kumwamini Kristo; uadilifu utokao kwa Mungu na ambao unategemea imani.
Shirikisha
Soma Wafilipi 3Wafilipi 3:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
tena nionekane katika yeye, nisiwe na haki yangu mwenyewe ipatikanayo kwa sheria, bali ile ipatikanayo kwa imani iliyo katika Kristo, haki ile itokayo kwa Mungu, kwa imani
Shirikisha
Soma Wafilipi 3