Wafilipi 3:5
Wafilipi 3:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi nilitahiriwa siku ya nane baada ya kuzaliwa kwangu; mimi ni wa taifa la Israeli, kabila la Benyamini, Mwebrania halisi. Kuhusu kuizingatia sheria mimi nilikuwa Mfarisayo
Shirikisha
Soma Wafilipi 3Wafilipi 3:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nilitahiriwa siku ya nane, ni mtu wa taifa la Israeli, wa kabila la Benyamini, Mwebrania wa Waebrania, kwa habari ya kuishika torati, ni Farisayo
Shirikisha
Soma Wafilipi 3