Wafilipi 3:3
Wafilipi 3:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu waliotahiriwa kikweli ni sisi, si wao; kwani sisi twamwabudu Mungu kwa njia ya Roho wake, na kuona fahari katika kuungana na Kristo Yesu. Mambo ya nje tu hatuyathamini.
Shirikisha
Soma Wafilipi 3Wafilipi 3:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana sisi tu tohara, tumwabuduo Mungu kwa Roho, na kuona fahari juu ya Kristo Yesu, wala hatuutumainii mwili.
Shirikisha
Soma Wafilipi 3