Wafilipi 3:14
Wafilipi 3:14 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Nakaza mwendo nifikie ile alama ya ushindi iliyowekwa ili nipate tuzo ya mwito mkuu wa Mungu ambao nimeitiwa huko juu mbinguni katika Kristo Yesu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 3Wafilipi 3:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, nimo mbioni kuelekea lengo langu, ili nipate lile tuzo, ambalo ni mwito wa Mungu kwa maisha ya juu kwa njia ya Kristo Yesu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 3Wafilipi 3:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nakaza mwendo, niifikie tuzo la thawabu ya mwito mkuu wa Mungu katika Kristo Yesu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 3