Wafilipi 3:13
Wafilipi 3:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Ama kweli, ndugu zangu, sidhani kuwa nimekwisha pata tuzo hilo; lakini jambo moja nafanya: Nayasahau yale yaliyopita na kufanya bidii kuyazingatia yale yaliyo mbele.
Shirikisha
Soma Wafilipi 3Wafilipi 3:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndugu, sijidhanii nafsi yangu kwamba nimekwisha kushika; ila natenda neno moja tu; nikiyasahau yaliyo nyuma, nikiyachuchumilia yaliyo mbele
Shirikisha
Soma Wafilipi 3Wafilipi 3:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ndugu, sijidhanii nafsi yangu kwamba nimekwisha kushika; ila natenda neno moja tu; nikiyasahau yaliyo nyuma, nikiyachuchumilia yaliyo mbele
Shirikisha
Soma Wafilipi 3