Wafilipi 3:12
Wafilipi 3:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Sijidai kwamba nimekwisha faulu au nimekwisha kuwa mkamilifu. Naendelea kujitahidi kupata lile tuzo ambalo kwalo Kristo amekwisha nipata mimi.
Shirikisha
Soma Wafilipi 3Wafilipi 3:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Si kwamba nimekwisha kufika, au nimekwisha kuwa mkamilifu; la! Bali nakaza mwendo ili nipate kulishika lile ambalo kwa ajili yake nimeshikwa na Kristo Yesu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 3