Wafilipi 3:1
Wafilipi 3:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Hatimaye, ndugu zangu, furahini katika kuungana na Bwana. Sichoki kurudia yale niliyokwisha andika pale awali, maana yatawaongezeeni usalama.
Shirikisha
Soma Wafilipi 3Wafilipi 3:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hatimaye, ndugu zangu, furahini katika Bwana. Kuwaandikieni mambo yale yale hakuniudhi mimi, bali kutawafaa ninyi.
Shirikisha
Soma Wafilipi 3