Wafilipi 1:9
Wafilipi 1:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Sala yangu ni hii: Naomba upendo wenu uzidi kuongezeka zaidi na zaidi pamoja na ujuzi wa kweli na busara ya kila namna
Shirikisha
Soma Wafilipi 1Wafilipi 1:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na hii ndiyo dua yangu, kwamba pendo lenu lizidi kuwa jingi sana, katika hekima na ufahamu wote
Shirikisha
Soma Wafilipi 1Wafilipi 1:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na hii ndiyo dua yangu, kwamba pendo lenu lizidi kuwa jingi sana, katika hekima na ufahamu wote
Shirikisha
Soma Wafilipi 1