Wafilipi 1:5-6
Wafilipi 1:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
kwa sababu ya jinsi mlivyonisaidia katika kazi ya Injili tangu siku ile ya kwanza mpaka leo. Basi, nina hakika kwamba Mungu aliyeanza kazi hii njema ndani yenu, ataiendeleza mpaka ikamilike katika siku ile ya Kristo Yesu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 1Wafilipi 1:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kwa sababu ya ushirika wenu katika kuieneza Injili, tangu siku ile ya kwanza hata hivi leo. Nami niliaminilo ndilo hili, ya kwamba yeye aliyeanza kazi njema mioyoni mwenu ataimaliza hata siku ya Kristo Yesu
Shirikisha
Soma Wafilipi 1Wafilipi 1:5-6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
kwa sababu ya ushirika wenu katika kuieneza Injili, tangu siku ile ya kwanza hata leo hivi. Nami niliaminilo ndilo hili, ya kwamba yeye aliyeanza kazi njema mioyoni mwenu ataimaliza hata siku ya Kristo Yesu
Shirikisha
Soma Wafilipi 1