Wafilipi 1:30
Wafilipi 1:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Sasa mwaweza kushirikiana nami katika kupigana vita. Vita hivi ni vile mlivyoona nikipigana pale awali na ambavyo bado napigana sasa kama mnavyosikia.
Shirikisha
Soma Wafilipi 1Wafilipi 1:30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mkiwa na mashindano yale yale mliyoyaona kwangu, na kusikia kwamba ninayo hata sasa.
Shirikisha
Soma Wafilipi 1