Wafilipi 1:23
Wafilipi 1:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Nakabiliwa na haya mawili yaliyo sawa. Natamani kuyaacha maisha haya nikakae pamoja na Kristo, jambo ambalo ni bora zaidi
Shirikisha
Soma Wafilipi 1Wafilipi 1:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ninasongwa katikati ya mambo mawili; ninatamani kwenda zangu nikae na Kristo maana ni vizuri zaidi sana
Shirikisha
Soma Wafilipi 1