Wafilipi 1:20
Wafilipi 1:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Hamu yangu kubwa na tumaini langu ni kwamba kwa vyovyote sitashindwa katika kutimiza wajibu wangu, bali nitakuwa na moyo thabiti kila wakati na hasa wakati huu, ili kwa maisha yangu yote, niwapo hai au nikifa, nimpatie Kristo heshima.
Shirikisha
Soma Wafilipi 1Wafilipi 1:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kama vile nilivyotazamia sana, na kutumaini, kwamba sitaaibika kamwe, bali kwa uthabiti wote, kama sikuzote na sasa vivyo hivyo Kristo ataadhimishwa katika mwili wangu; ikiwa kwa maisha yangu, au ikiwa kwa mauti yangu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 1Wafilipi 1:20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
kama vile nilivyotazamia sana, na kutumaini, kwamba sitaaibika kamwe, bali kwa uthabiti wote, kama sikuzote na sasa vivyo hivyo Kristo ataadhimishwa katika mwili wangu; ikiwa kwa maisha yangu, au ikiwa kwa mauti yangu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 1