Wafilipi 1:12
Wafilipi 1:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndugu zangu, napenda mfahamu kwamba mambo yote yaliyonipata yamesaidia sana kuieneza Injili.
Shirikisha
Soma Wafilipi 1Wafilipi 1:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini, ndugu zangu, nataka mjue ya kuwa mambo yote yaliyonipata yametokea zaidi kwa kuieneza Injili
Shirikisha
Soma Wafilipi 1