Filemoni 1:7
Filemoni 1:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndugu, upendo wako umeniletea furaha kubwa na kunipa moyo sana! Nawe umeichangamsha mioyo ya watu wa Mungu.
Shirikisha
Soma Filemoni 1Filemoni 1:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana nilikuwa na furaha nyingi na faraja kwa sababu ya upendo wako, kwa kuwa mioyo ya watakatifu imeburudishwa nawe, ndugu yangu.
Shirikisha
Soma Filemoni 1