Filemoni 1:4-5
Filemoni 1:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Kila wakati ninaposali, nakukumbuka wewe Filemoni, na kumshukuru Mungu, maana nasikia habari za imani yako kwa Bwana Yesu na upendo wako kwa watu wote wa Mungu.
Shirikisha
Soma Filemoni 1Filemoni 1:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Namshukuru Mungu wangu sikuzote, nikikukumbuka katika maombi yangu; nikisikia habari za upendo wako na imani uliyo nayo kwa Bwana Yesu na kwa watakatifu wote
Shirikisha
Soma Filemoni 1