Filemoni 1:16
Filemoni 1:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Na sasa yeye si mtumwa wa kawaida, ila ni bora zaidi ya mtumwa: Yeye ni ndugu yetu mpenzi. Ni wa maana sana kwangu mimi, na kwako atakuwa wa maana zaidi, kama mtumwa na kama ndugu katika Bwana.
Shirikisha
Soma Filemoni 1Filemoni 1:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Na sasa yeye si mtumwa wa kawaida, ila ni bora zaidi ya mtumwa: Yeye ni ndugu yetu mpenzi. Ni wa maana sana kwangu mimi, na kwako atakuwa wa maana zaidi, kama mtumwa na kama ndugu katika Bwana.
Shirikisha
Soma Filemoni 1Filemoni 1:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
tokea sasa, si kama mtumwa, bali zaidi ya mtumwa, ndugu mpendwa; kwangu mimi sana, na kwako wewe zaidi sana, katika mwili na katika Bwana.
Shirikisha
Soma Filemoni 1