Obadia 1:21
Obadia 1:21 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Tena waokozi watakwea juu ya mlima Sayuni ili kuuhukumu mlima wa Esau; na huo ufalme utakuwa ni mali ya BWANA.
Shirikisha
Soma Obadia 1Obadia 1:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Waokoaji watapanda juu ya mlima Siyoni ili kuutawala mlima Esau; naye Mwenyezi-Mungu atakuwa ndiye Mfalme.”
Shirikisha
Soma Obadia 1Obadia 1:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena waokoaji watakwea juu ya mlima Sayuni ili kuuhukumu mlima wa Esau; na huo ufalme utakuwa ni mali ya BWANA.
Shirikisha
Soma Obadia 1