Hesabu 8:13
Hesabu 8:13 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kisha utawasimamisha Walawi mbele ya Aroni na wanawe na kuwaweka mbele yangu kama sadaka ya kutikiswa.
Shirikisha
Soma Hesabu 8Hesabu 8:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha utawaweka Walawi mbele ya Haruni, na mbele ya wanawe na kuwasongeza kwa BWANA wawe sadaka ya kutikiswa.
Shirikisha
Soma Hesabu 8