Hesabu 6:24-27
Hesabu 6:24-27 Biblia Habari Njema (BHN)
‘Mwenyezi-Mungu awabariki na kuwalinda; Mwenyezi-Mungu awaangalie kwa wema, na kuwafadhili; Mwenyezi-Mungu awaoneshe wema wake na kuwapa amani.’ “Ndivyo watakavyotamka jina langu juu ya Waisraeli, nami nitawabariki.”
Shirikisha
Soma Hesabu 6Hesabu 6:24-27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akubariki, na kukulinda; BWANA akuangazie nuru za uso wake, na kukufadhili; BWANA akuinulie uso wake, na kukupa amani. Ndivyo watakavyoweka jina langu juu ya wana wa Israeli; nami nitawabariki.
Shirikisha
Soma Hesabu 6Hesabu 6:24-27 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA akubarikie, na kukulinda; BWANA akuangazie nuru za uso wake, na kukufadhili; BWANA akuinulie uso wake, na kukupa amani. Ndivyo watakavyoweka jina langu juu ya wana wa Israeli; nami nitawabarikia.
Shirikisha
Soma Hesabu 6